By using AnimeStudioTutor.com you agree to our cookie and privacy policy
Close

AD-BLOCKER

Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad-blocker, or whitelisting this site.
You can also support us at Patreon: patreon.com/animestudiotutor
Links to other donation methods are available at the bottom of this page.

Piga Maji Ung'are weweeee


Description

Katuni ya kiswahili kutoka katika tangazo, ni nzuri kwa watoto kufurahia na kujifunza hata kiswahili kwa wale ambao kiswahili sio lugha yao ya kuzaliwa.

Imetengenezwa na ZMOTION STUDIO kutoka Zanzibar , inachekesha sana na ni miongoni kwa vichekesho maarufu visiwani Zanzibar. Tunatumai utaipenda na kushare kwa marafiki na ndugu ili na wao wapate kufaidika.

Unaweza kumtumia rafiki yako link ya video hia kwa whatsapp, facebook na hata SMS.

Ili kutoa maoni yako, tuandikie kwenda:

[email protected]

-~-~~-~~~-~~-~-
Please watch: "MAKAME NUHUSI ANAHONGA KIWANJA ZANZIBAR (FUMANIZI)"
https://www.youtube.com/watch?v=Fpw681pSXQg
-~-~~-~~~-~~-~-

Author Sayd Fuad
Added on the 7 Apr, 2014
Added By saydfuad
2,434 YouTube views